Yanga - Local

Yanga kuanza pre-season Avic Town Jumatano

Joel JJ By Joel JJ
β€’
11 Jul 2023
Yanga kuanza pre-season Avic Town Jumatano

Meneja wa Yanga Walter Harrison amesema idadi kubwa ya wachezaji wamerejea nchini kwa ajili ya kuanza maandalizi ya msimu (2023/24)

Walter amesema jana klabu hiyo iliendesha zoezila kupima afya za wachezaji ambalo wanatarajia kulikamilisha hapo leo

Siku ya Jumatano Yanga itaanza rasmi mazoezi Avic Town ambapo kutakuwa na program mbili kwa siku

"Idadi kubwa ya wachezaji wamerejea na leo tumeanza zoezi la kupima afya za wachezaji. Tunatarajia zoezi hilo litakamilika hapo kesho (Jumanne) na Jumatano tutaanza rasmi maandalizi"

"Tunatarajia kuwa na session mbili za mazoezi asubuhi na jioni kuhakikisha wachezaji wanakuwa tayari kwa wakati," alisema Harrison

Akizungumzia uamuzi wa kuweka kambi Avic Town, Harrison amesema yalikuwa mapendekezo yaliyozingatia sababu mbalimbali

"Unajuwa baada ya kumaliza msimu kuna wachezaji walisafiri kwenda mapumziko, kwa kuzingatia muda uliobaki na mapendekezo ya kocha, tukaona haitakuwa nyema kusafiri tena nje ya nchi"

"Hapa Avic Town tuna kila kitu tunachokihitaji kwa ajili ya maandalizi, naamini tutakuwa na maandalizi mazuri hapa"

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
5h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
5h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
5h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
9h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
12h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
13h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
13h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
14h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
15h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
16h ago
READ MORE β†’