Shirikisho la soka Duniani (FIFA) limezifungia kusajili klabu za Kitayosce Fc inayoshiriki Ligi Kuu na Fountain Gate inayoshiriki Championship baada ya kushinwa kushindwa kumlipa aliyekuwa kocha wao Ahmed Soliman