Nahodha wa Liverpool Jordan Henderson anafikiria kuondoka katika klabu hiyo na kwenda kwenye klabu ya Al-Ettifaq inayofundishwa na Steven Gerrard ya nchini Saudi Arabia. Bado hawajawasilisha ofa rasmi kwa kiungo huyo wa kati wa England, 33, lakini wanataka kumsajili. (Telegraph)
..... download Xtra 90 App



