Matajiri wa Chamazi, Azam Fc wao walianza pre-season mapema kabla ya kusafiri Tunisia ambako leo ni siku ya tatu ya maandalizi yao
Azam Fc ikiongezewa nguvu na nyota wapya wakiongozwa na Feisal Salum 'Fei Toto', wanajifua sawasawa ili kuhakikisha msimu ujao wanatimiza malengo yao ya kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya NBC
Azam Fc itacheza na Yanga August 09 katika mchezo wa nusu fainali Ngao ya Jamii ambao utapigwa uwanja wa Mkwakwani






