Tanzania - Taifa Stars - Yanga - Simba - Azam - Local

Stars inawezekana kombe la Dunia 2026

Joel JJ By Joel JJ
β€’
14 Jul 2023
Stars inawezekana kombe la Dunia 2026

Droo ya makundi ya kuwania kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2026 imechezeshwa jana jijini Abidjan, Ivory Coast

Stars ikipangwa kundi E ikiwa pamoja na timu tano ambazo ni Morocco ambayo ilifika nusu fainali Kombe la Dunia 2022, Zambia, Congo, Niger na Eritrea

Kombe la Dunia mwaka 2026 litashirikisha timu 48, Afrika ikiwa na nafasi ya kutoa timu tisa

Timu itakayomaliza kinara wa kundi itajihakikishia tiketi ya kushiriki michuano hiyo

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
10h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
10h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
10h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
14h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
17h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
18h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
18h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
19h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
20h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
20h ago
READ MORE β†’