Yanga - Local - Transfer

Yanga yanasa beki Asec Mimosas

Joel JJ By Joel JJ
β€’
14 Jul 2023
Yanga yanasa beki Asec Mimosas

Sio tetesi tena, sasa ni rasmi Yanga imekamilisha usajili wa mlinzi mahiri wa kulia Yao Kouassi Attohoula

Mabingwa wa nchi wamemn'goa Yao Kouassi kutoka klabu ya Asec Mimosas ya Ivovy Coast

Kouassi ni mchezaji kiraka ambaye anaweza kutumika katika nafasi zote za ulinzi na hata kiungo mkabaji

Kwa hakika Yanga imedhamiria kutetea makombe yote, usajili huu unatoa picha halisi ya mipango ya Yanga kuelekea msimu ujao

Kouassi alikuwa mchezaji muhimu katika kikosi cha Asec kilichotwaa ubingwa wa Ivory Coastl msimu uliopita pamoja na kutinga nusu fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika (CAF CC)

More Stories

Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
28m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
17h ago
READ MORE β†’
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
22h ago
READ MORE β†’