Azam - Local

Azam Fc yaichapa Al Hilal mechi ya kirafiki

Joel JJ By Joel JJ
β€’
15 Jul 2023
Azam Fc yaichapa Al Hilal mechi ya kirafiki

Matajiri wa Chamazi, Azam Fc wako Tunisia kwa takribani wiki moja sasa wakiendelea na pre-season kujiandaa na msimu mpya wa mashindano (2023-24)

Azam Fc jana ilicheza mechi ya kirafiki dhidi ya Al Hilal ya Sudan ambayo pia iko Tunisia kujiandaa na michuano ya ligi ya mabingwa. Sudan kuna vita hivyo hakuna mashindano ya ligi ya ndani yanayofanyika

Mtanange huo uliopigwa uwanja wa Redes ulimalizika kwa Azam Fc kuibuka na ushindi wa mabao 3-0

Mabao ya Azam Fc yalifungwa na yota wapya Sidibe, Alassane huku bao la tatu likifungwa na Prince Dube

More Stories

Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
20m ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
3h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
4h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
5h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
5h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
6h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
7h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
7h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
20h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
20h ago
READ MORE β†’