Al Nassr, Manchester United, Ronaldo - International

Ronaldo afunga mahesabu Ulaya

Joel JJ By Joel JJ
β€’
18 Jul 2023
Ronaldo afunga mahesabu Ulaya

Nahodha wa timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo amefuta uwezekano wa kurejea tena kusakata soka barani Ulaya

Aidha Ronaldo ameponda uamuzi wa mishindani wake Lionel Messi kutimkia Marekani akiitaja Ligi ya Marekani kuwa ni dhaifu kuliko ligi ya Saudi Arabia

Kwa mujibu mtandao wa ESPN kauli hiyo aliitoa mara baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Celta Vigo ambapo timu yake ilibugizwa bao 5-0

"Nina uhakika wa 100% siwezi kurudi kwenye klabu yoyote barani Ulaya nina miaka 38 kwa sasa, Mpira wa Ulaya umepoteza ladha yake ligi ambayo inafanya vizuri na ina ubora kwa sasa ni ligi kuu ya England pekee," alisema Ronaldi

Kinara huyo anayeshikilia rekodi ya kupachika mabao mengi katika mashindano yote amesema Ligi ya Saudi Arabia ni bora kuliko ligi ya Marekani na ndio sababu wachezaji wengi wakubwa wanatimkia huko Saudi Arabia na anamini ndani ya mwaka mmoja ligi hiyo itapasua anga zaidi na kuzipita baadhi ya ligi za Ulaya.

Ronaldo alijiuunga na Al Nassr in Desemba 2022 baada ya kuachana na Manchester United na baada ya uhamisho wake nyota wengi wanatua kwenye ligi hiyo

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
9h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
9h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
9h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
13h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
16h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
17h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
17h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
18h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
19h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
20h ago
READ MORE β†’