Yanga - Transfer - Local

Djuma Shabani, Bangala wakalia kuti kavu Yanga

Joel JJ By Joel JJ
β€’
18 Jul 2023
Djuma Shabani, Bangala wakalia kuti kavu Yanga

Wachezaji Djuma Shabani na Yannick Bangala ni kama walitikisa kibiriki na wakakuta kimejaa baada Yanga kuwafanyia 'surprise' ya aina yake

Mwezi uliopita baada ya msimu kumalizika nyota hao waliwasilisha barua kwa uongozi wa Yanga wakiomba kuachwa kwenda kusaka changamoto sehemu nyingine

Katika moja ya mahojiano yake, Bangala akabainisha kuwa ana asilimia 20 za kuendelea kuitumikia Yanga

Kwa aina ya usajili ambao Yanga wameufanya ni wazi wachezaji hao hawatakuwa na nafasi katika kikosi cha Kocha Miguel Gamondi msimu ujao

Yao Kouassi kutoka Asec Mimosas amechukua nafasi ya Djuma ambaye anatarajiwa kuibukia TP Mazembe wakati Jonas Mkude huenda akamuondoa Bangala ambaye pia katika nafasi ya beki Yanga imemsajili beki wa Kimataifa wa Uganda, Gift Fred

Bangala alikuwa mchezaji bora wa ligi kuu ya NBC msimu wa 2021-22, lakini msimu uliopita hakuwa katika ubora na kujikuta akipoteza nafasi yake katika kikosi cha kwanza

Hali ilikuwa hivyo kwa Djuma ambaye aliyekuwa kocha wa Yanga Nasreddine Nabi aliamua kuwatumia Kibwana Shomari na Dickson Job katika nafasi yake

Katika ripoti yake ya mwisho, Nabi aliwashauri viongozi wa Yanga kusajili wachezaji mbadala wa Djuma na Bangala

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
32m ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
44m ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
1h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
4h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
8h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
8h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
9h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
10h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
10h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
11h ago
READ MORE β†’