Simba yajiandaa kumpokea Miquissone

Joel JJ By Joel JJ β€’ 20th July 2023


Simba yajiandaa kumpokea Miquissone

Baada ya winga Luis Miquissone kuvunja mkataba wake na Al Ahly, klabu ya Simba inatarajiwa kumtambulishwa wakati wowote

Miquissone anatua Simba akiwa mchezaji huru baada ya kufikia makubaliano ya kusitisha mkataba wake wa mwaka mmoja uliokuwa umebaki na miamba hao wa soka barani Afrika

Rais wa heshima wa klabu ya Simba Mohammed Dewji 'Mo' amebainisha kuwa klabu hiyo iko mbioni kukamilisha usajili wa Miquissone


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.