Kaizer - Yanga - Local

Kaizer Chiefs yawasili Tanzania

Joel JJ By Joel JJ
β€’
21 Jul 2023
Kaizer Chiefs yawasili Tanzania

Klabu ya Kaizer Chiefs ambayo imealikwa na Yanga kushiriki Tamasha la Wiki ya Mwananchi, imewasili nchini

Timu hiyo ilitua uwanja wa Ndege wa Kimataifa Julius Nyerere na kulakiwa na wenyeji wao Yanga

Yanga na Kaizer Chiefs zitachuana katika mchezo wa kuhitimisha wiki ya Mwananchi kesho Jumamosi saa 1 usiku

Mtanange huo utapigwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Ranga Chivaviro ni miongoni mwa wachezaji waliotua nchini na kikosi cha Kaizer Chiefs

Chivaviro amerudi tena kuikabili Yanga katika uwanja wa Benjamin Mkapa, msimu uliopita akiwa na Marumo Gallants alicheza mechi ya kwanza ya nusu fainali ambayo Yanga ilishinda mabao 2-0

More Stories

Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
2h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
6h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
6h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
7h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
8h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
8h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
9h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
9h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
22h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
23h ago
READ MORE β†’