Azam - Local

Azam Fc gari limewaka

Joel JJ By Joel JJ
β€’
23 Jul 2023
Azam Fc gari limewaka

Kocha Mkuu wa Azam Fc Youssouph Dabo amesema kuwa anawapa mbinu mpya wachezaji wake zitakazowafanya wawe wakomavu wa fikira

Timu hiyo ipo kambini nchini Tunisia kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa 2023/24. Jana walicheza mechi ya kirafiki dhidi ya US Monastir na kuibuka na ushindi wa mabao 2-1

 Dabo ambaye ni raia wa Senegel amesema ameona sehemu ambayo wachezaji wake bado hawajawa imara sana ni eneo hilo jambo ambalo wanalifanyia kazi

"Wachezaji wanajituma na ninafurahi wanafuata maelekezo ambacho kipo kwa sasa ni kwenye kuwaongezea mazoezi ya ukomavu wa fikra jambo ambalo kwao lilikuwa chini sana kwenye eneo hilo"

"Ambacho kinafanyika kwa sasa ni kuendelea kuangalia maeneo mengine zaidi ikiwa ni pamoja na kuwapa mazoezi magumu ili wazidi kuwa imara, " alisema

Azam Fc itacheza na Yanga August 09 mchezo wa nusu fainali Ngao ya Jamii ambao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
9h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
9h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
9h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
13h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
16h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
17h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
17h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
18h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
19h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
20h ago
READ MORE β†’