Simba - Yanga - Azam - Singida - Local

Yanga, Simba, Azam, Singida FG mguu sawa CAF

Joel JJ By Joel JJ
β€’
24 Jul 2023
Yanga, Simba, Azam, Singida FG mguu sawa CAF

Shirikisho la Soka Afrika (CAF), limetangaza kufanyika kwa droo ya hatua ya awali kwa Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika, Julai 25, jijini Cairo, Misri kuanzia saa 9:00, saa za Afrika Mashariki

Klabu 54 kutoka mataifa 42 wanachama wa CAF zitashiriki Ligi ya Mabingwa Afrika, huku klabu 52 kutoka mataifa 41 zikishiriki Kombe la Shirikisho msimu ujao

Droo kwa upande wa Ligi ya Mabingwa itahusisha timu 54, huku mbili kutoka Tanzania Bara zitashiriki mashindano hayo ambazo ni Simba na Yanga na moja kutoka Zanzibar ambayo ni KMKM

Kombe la Shikisho linashirikisha timu 52 huku Tanzania Bara itawakilishwa na Azam FC na Singida fountain Gate FC na kwa Zanzibar itawakilishwa na JKU SC

More Stories

Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
23m ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
3h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
4h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
5h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
5h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
6h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
7h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
7h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
20h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
21h ago
READ MORE β†’