Barcelona - UEFA - International

Barcelona ruksa kushiriki UEFA CL 2023-24

Joel JJ By Joel JJ
28 Jul 2023
Barcelona ruksa kushiriki UEFA CL 2023-24

klabu ya Fc Barcelona imeruhusiwa kwa muda kucheza Ligi ya Mabingwa 2023-24 huku kukiwa na uchunguzi wa Uefa kuhusu madai kuwa klabu hiyo ilitoa hongo kwa mkuu wa waamuzi

Mnamo Machi, bodi inayosimamia soka ya Ulaya ilithibitisha kuwa inachunguza madai ya malipo yaliyotolewa na Barcelona ili kupata maamuzi mazuri ya waamuzi

Barcelona wamekana kufanya makosa hayo. Wakati ikitoa ruhusa hiyo kwa muda, Uefa ilihifadhi haki ya kuiadhibu klabu hiyo siku zijazo

Uchunguzi wa Uefa ulikuja baada ya uchunguzi wa uhalifu kuletwa na ofisi ya mwendesha mashtaka wa umma wa Barcelona tarehe 10 Machi

Ilidaiwa kuwa Barcelona ililipa euro 8.4m (£7.4m) kwa Jose Maria Enriquez Negreira, makamu wa rais wa zamani wa kamati ya waamuzi wa Uhispania na kampuni yake ya Dasnil 95

More Stories

Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa uhuru
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa uhuru
54m ago
READ MORE →
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
58m ago
READ MORE →
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
1h ago
READ MORE →
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
1h ago
READ MORE →
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
1h ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
3h ago
READ MORE →
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
13h ago
READ MORE →
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
13h ago
READ MORE →
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
14h ago
READ MORE →
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
17h ago
READ MORE →