Singida - Local

AS Vita yatua Singida kuikabili Singida FG

Joel JJ By Joel JJ
β€’
31 Jul 2023
AS Vita yatua Singida kuikabili Singida FG

Kikosi cha AS Vita kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, kimewasili mkoani Singida kwa ajili ya mchezo wa Singida Dy dhidi ya Singida Fountain Gate

Mchezo huo utapigwa siku ya Jumatano, August 02 katika uwanja wa LITI

Singida FG itatumia mchezo huo kutambulisha kikosi chake kwa ajili ya msimu wa mashindano 2023/24

AS Vita wameweka kambi ya siku 14 Tanzania kujiandaa na msimu mpya

Juzi walicheza mechi ya kirafiki dhidi ya Namungo Fc mkoani Arusha na kukubali kipigo cha bao 1-0

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
10h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
10h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
10h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
14h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
17h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
18h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
18h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
19h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
20h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
21h ago
READ MORE β†’