Singida - Local

Singida FG yaichapa AS Vita 2-1

Joel JJ By Joel JJ
β€’
2 Aug 2023
Singida FG yaichapa AS Vita 2-1

Tamasha la Singida lililopewa jina la Singida Big Day limehitimisha kwa Singida FG kuibuka na ushindi wa mabao 2-1

Tamasha hilo lilikuwa maalum kwa ajili ya utambulisho wa kikosi cha Singida FG, lilifuatiwa na dakika 90 zenye ushindani kutoka kwa kila timu

AS Vita walitangulia kufunga bao kupitia kwa Ngoma Manianga  kabla ya Malouf Tchakei hajairejesha mchezoni Singida FG na Dickson Ambundo kufunga bao la pili kabla ya mapumziko

Baadhi ya nyota waliopata nafasi katika mchezo huo kwa upande wa Singida FG ni Joash Onyango, Gadiel Michael na Habibu Kiyombo waliosajiliwa kutoka klabu ya Simba wakati Ambundo akitua kutoka klabu ya Yanga

Winga Mkenya Duke Abuye nae alianza katika mchezo huo

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
9h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
9h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
9h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
13h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
16h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
17h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
17h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
18h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
19h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
20h ago
READ MORE β†’