Mshambuliaji wa Ufaransa Kylian Mbappe, 24, ameiambia Chelsea kwamba yuko tayari kujiunga nao kutoka Paris St Germain kwa mkataba wa mwaka mmoja akiwa ataruhusiwa kuhamia Real Madrid kwa uhamisho wa bure msimu ujao. (Sport - kwa Kihispania)
..... download Xtra 90 App



