Klabu ya KMC imemtambulisha kiungo Issa Ndala aliyesajiliwa na timu hiyo kutoka klabu ya Azam Fc
Ndala rais wa Nigeria ametua KMC kwa mkopo wa mwaka mmoja
Azam Fc ilitangaza kumtoa Ndala kwa mkopo baada ya kumsajili Yannick Bangala aliyetua kutoka klabu ya Yanga
Katika dirisha hili la usajili, KMC imesajili wachezaji wawili kutoka Azam Fc
Mwingine ni kiungo mshambuliaji Tepsie Evans ambaye pia ametua kwa mkopo wa msimu mzima