Simba - Singida - Local

Simba, Singida FG zawasilisha vibali nyota wa kigeni

Joel JJ By Joel JJ
10 Aug 2023
Simba, Singida FG zawasilisha vibali nyota wa kigeni

Klabu za Simba na Singida FG zimewasilisha vibali vya nyota wake wa kigeni kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)

Kulingana na taarifa iliyotolewa na TFF, Simba imewasilisha vibali vya wachezaji 11 wakati Singida FG imewasilisha vibali vya wachezaji 10

TFF iliweka zuio kwa wachezaji wa kigeni ambao hawana vibali kutoshiriki michuano ya Ngao ya Jamii

Simba na Singida FG zitachuana leo katika mchezo wa pili wa nusu fainali ambao utapigwa saa 1 katika uwanja wa Mkwakwani

Mshindi wa mchezo huo atachuana na Yanga kwenye fainali wakati timu itakayofungwa itachuana na Azam Fc katika mchezo wa kusaka mshindi wa tatu siku ya Jumapili

More Stories

SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
22m ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
2h ago
READ MORE →
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
12h ago
READ MORE →
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
12h ago
READ MORE →
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
13h ago
READ MORE →
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
16h ago
READ MORE →
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
19h ago
READ MORE →
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
20h ago
READ MORE →
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
21h ago
READ MORE →
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
21h ago
READ MORE →