Ligi Kuu ya NBC 2023/24 inaanza kutimua vumbi hapo kesho Jumanne, August 15 kwa mechi tatu kupigwa
Ihefu Fc itakuwa nyumbani kuikabili Geita Gold wakati Namungo Fc ikiwa wenyeji wa JKT Tanzania
Mchezo wa tatu ni kati ya Dodoma Jiji dhidi ya Coastal Union mchezo utakaopigwa uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma
Ratiba ya mechi zote inapatikana ndani ya App yetu ya Mwana Soka, sehemu ya mashindano

ADVERTISE HERE