Simba - Mtibwa - Local

Mtibwa Sugar uso kwa uso dhidi ya Simba leo

Joel JJ By Joel JJ
β€’
17 Aug 2023
Mtibwa Sugar uso kwa uso dhidi ya Simba leo

Ligi Kuu ya NBC inaendelea leo kwa mchezo mmoja kupigwa mkoani Morogoro

Mtibwa Sugar watawakaribishwa mabingwa wapya wa Ngao ya Jamii, Simba Sc katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Manungu, Turiani

Huu ni mchezo wa kwanza kwa kila timu msimu huu, Simba ikiwa na hesabu za kutwaa ubingwa wakati Mtibwa Sugar wamepania kutorudia makosa ya misimu iliyopita ambayo yalipelekea timu hiyo kuponea kushuka daraja katika mechi za play-off

Kocha Mkuu wa Simba Robertinho Oliveira amesema kwa ubora wa kikosi chake ana kila sababu ya kushinda mchezo huo wakati Afisa Habari wa Mtibwa Thobias Kifaru akibainisha kuwa wanawaheshimu Simba lakini wasitarajie mchezo mwepesi kutoka kwao

Mara ya mwisho timu hizo ziilipokutana msimu uliopita katika uwanja wa Manungu, Simba iliibuka na ushindi wa mabao 3-0 mshambuliaji Jean Baleke akifunga mabao yote

Baleke amerejea tena Manungu kuwawinda tena Mtibwa Sugar

More Stories

Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
12m ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
3h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
4h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
4h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
5h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
6h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
7h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
7h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
20h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
20h ago
READ MORE β†’