Ihefu - Kagera - Namungo - KMC - Local

Ihefu yajisahihisha, Kagera Sugar taabani

Joel JJ By Joel JJ
β€’
20 Aug 2023
Ihefu yajisahihisha, Kagera Sugar taabani

Baada ya kupoteza mechi ya ufunguzi wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Geita Gold, jana Ihefu ilimalizia machungu yake kwa Kagera Sugar baada ya kuwalaza bao 1-0 mchezo uliochezwa Uwanja wa Highland Estate jijini Mbeya

Bao la Mubaack Amza mshambuliaji wa zamani wa Coastal Union, liliihakikishia Ihefu Fc ushindi huo muhimu katika uwanja wa nyumbani

Kwa upande wa Kagera Sugar wameanza vibaya msimu wakipoteza mechi zote mbili za ufunguzi

Kabla ya kipigo cha jana, Kagera Sugar walianza kwa kuchapwa mabao 2-0 na Mashujaa Fc katika mchezo wa kwanza uliopigwa uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma

Kocha Mkuu wa Kagera Sugar Meckie Mexime amelia na ratiba akibainisha kuwa timu yake ilikosa muda wa kupumzika wakiwasili Mbeya majira ya saa 5 usiku wa kuamkia mchezo huo

Nao KMC wamefanikiwa kuondoka na alama moja Ruangwa baada ya sare ya bao 1-1 dhidi y wenyeji wao Namungo Fc

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
6h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
6h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
7h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
10h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
14h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
14h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
15h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
16h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
16h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
17h ago
READ MORE β†’