Simba - Dodoma - Local

Simba yapanda kileleni Ligi Kuu

Joel JJ By Joel JJ
β€’
20 Aug 2023
Simba yapanda kileleni Ligi Kuu

Mnyama ameunguruma uwanja wa Uhuru akiibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Dodoma Jiji katika mchezo wa ligi kuu ya NBC

Jean Baleke ameendeleza kasi yake ya kupachika mabao msimu huu, leo akifunga bao lake la pili katika mchezo wa pili mfululizo

Bila shaka kocha wa Simba Robertinho Oliveira leo ameelewa kwa nini Wanasimba wanashinikiza Jenerali Moses Phiri kupewa nafasi ya kucheza leo akifunga bao la pili kwa Simba

Ni ushindi ambao umeipeleka Simba kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kufikisha alama sita

Mwendo wa kukusanya alama tatu kila mchezo mpaka ubingwa...!

Katika mchezo uliopigwa mapema, Mtibwa Sugar imelazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Coastal Union katika mchezo uliopigwa uwanja wa Manungu

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
3h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
3h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
4h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
7h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
10h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
11h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
12h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
12h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
13h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
14h ago
READ MORE β†’