Yanga - Local

Yanga yaiburuza KMC 5-0

Joel JJ By Joel JJ
β€’
23 Aug 2023
Yanga yaiburuza KMC 5-0

Mabingwa watetezi ligi kuu ya NBC Yanga wameanza msimu kibabe baada ya kuibamiza KMC mabao 5-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Azam Complex

Ulikuwa mchezo wa upande mmoja kwa muda mwingi Yanga ikitawala zaidi

Ilikuwa ni suala la Yanga kufunga mabao mangapi katika mchezo huo

Nahodha wa Yanga katika mchezo huo Dickson Job alifungua akaunti ya mabao kwa upande wa Yanga kwa kufunga bao la kwanza mapema kwenye kupindi cha kwanza

Mambo yalizidi kuwa magumu zaidi kwa KMC kwenye kipindi cha poili ambapo waliruhusu mabao mengine manne yaliyofungwa na Stephane Aziz Ki, Hafiz Konkoni, Mudathir Yahya na Pacome Zouzoua

Ni ushindi ambao umeipandisha Yanga mpaka nafasi ya nne kwenye msimamo wa ligi, alama tatu kutoka mechi moja na mabao matano ya kufunga

More Stories

Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
2h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
6h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
6h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
7h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
8h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
8h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
9h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
9h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
22h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
23h ago
READ MORE β†’