Banda apewa Thank You na Simba

Joel JJ By Joel JJ β€’ 28th August 2023


Banda apewa Thank You na Simba

Kiungo mshambuliaji Peter Banda anaondoka klabu ya Simba kusaka changamoto mahali pengine baada ya makubaliano ya pande mbili

Banda alikuwa bado ana mkataba wa mwaka mmoja na Simba lakini makubaliano yamefikiwa, Simba ikimruhusu aondoke

Banda huenda akajiunga na Fc Kyrvbas inayoshiriki Ligi Kuu ya Ukraine

Ameitumikia Simba kwa misimu miwili hata hivyo Wanasimba hawakufaidi kipaji chake kutokana na majeraha yaliyokuwa yakimkabili mara kwa mara


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.