Manchester City - International

Ni mwendo wa kukusanya tuzo kwa Haaland

Joel JJ By Joel JJ
β€’
30 Aug 2023
Ni mwendo wa kukusanya tuzo kwa Haaland

Mshambuliaji wa Manchester City, Erling Haaland ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka kwa Wanaume ya PFA, huku Bukayo Saka wa Arsenal akitangazwa kuwa Mchezaji Bora Chipukizi wa Mwaka

Haaland alifunga mabao 52 katika mashindano yote katika msimu wake wa kwanza akiwa na kikosi cha Pep Guardiola

Haaland aliwashinda wachezaji wenzake Kevin de Bruyne na John Stones, Saka wa Arsenal na Martin Odegaard na Harry Kane wa Tottenham (sasa yuko Bayern Munich)

City ilishinda Ligi ya Primea, Kombe la FA na Ligi ya Mabingwa msimu uliopita.

"Ni heshima kushinda tuzo hii ya kifahari. Kutambuliwa na washindani wako ni jambo zuri na ningependa kumshukuru kila mtu aliyenipigia kura"

"Ulikuwa msimu usiosahaulika kwa timu na kwangu binafsi. Kushinda mataji matatu ilikuwa kitu ambacho sikuwahi kufikiria, kwa hivyo kufikia hilo na kundi maalum la wachezaji ilikuwa hisia ya kushangaza," alisema Haaland

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
8h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
8h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
8h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
12h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
15h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
16h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
16h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
17h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
18h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
19h ago
READ MORE β†’