Klabu ya Al-Ittihad ya Saudi Arabia iko tayari kuwasilisha dau la pauni milioni 200 kumnunua nyota wa Liverpool kutoka Misri Mohamed Salah, 31, lakini inahofia muda unayoyoma, leo Alhamisi ndio siku mwisho ya uhamisho wa wachezaji. (Telegraph - usajili unahitajika)
..... download Xtra 90 App



