Simba - Coastal - Local

Simba yaichapa Coastal Union 3-0

Joel JJ By Joel JJ
β€’
21 Sep 2023
Simba yaichapa Coastal Union 3-0

Hat trik ya pili msimu huu imefungwa na Jean Baleke leo katika mchezo kati ya Simba dhidi ya Coastal Union uliopigwa uwanja wa Uhuru Simba ikiibuka na ushindi wa mabao 3-0

Baleke alifunga hat-trik hiyo katika kipindi cha kwanza akipokea pasi kutoka kwa Clatous Chama, Mohammed Hussein na bao la tatu akifunga kupitia mkwaju wa penati baada ya Luis Miquissone kufanyiwa madhambi ndani ya eneo la hatari

Coastal Union walicheza pungufu kwa muda mrefu wa mchezo baada ya mshambuliaji wao Hija Ugando kutolewa nje kwa kadi nyekundu baada ya kumfanyia madhambi Hennock Inonga wa Simba aliyelazimika kukimbizwa Hospitalini kwa ajili ya matibabu zaidi

Pengine Simba ingeweza kufunga mabao mengi zaidi kama wachezaji wake wangekuwa na umakini kwani walitawala mchezo huo na kutengeneza nafasi nyingi

Ushindi huo umeipandisha Simba mpaka nafasi ya pili ikifikisha alama tisa kama ilivyo kwa vinara Yanga ambao wamefunga mabao mengi zaidi

More Stories

Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
1h ago
READ MORE β†’
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
11h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
11h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
12h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
15h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
19h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
19h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
20h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
20h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
21h ago
READ MORE β†’