Mshambuliaji wa Uingereza Ivan Toney yuko tayari kuondoka Brentford mwezi Januari. Klabu hiyo iko tayari kuruhusu mchezaji huyo, 27, ambaye anatumikia marufuku ya miezi minane kwa kukiuka sheria za kamari za Shirikisho la Soka, aondoke ikiwa thamani yao ya pauni milioni 60 itafikiwa. (Sunday Mirror)
..... download Xtra 90 App



