Yanga - Local

Hersi kuongoza mashabiki wa Yanga Key Day

Joel JJ By Joel JJ
β€’
28 Sep 2023
Hersi kuongoza mashabiki wa Yanga Key Day

Rais wa Yanga Injinia Hersi Said amesema atakuwa miongoni mwa Wananchi watakaobeba funguo zao kuhanikiza kwenye mchezo dhidi ya Al Merrikh ambao utapigwa Jumamosi, Septemba 30 katika uwanja wa Azam Complex

Yanga itachuana na Al Merrikh katika mchezo ambao Wananchi wanahitaji kushinda au matokeo yoyote ya sare ili kutinga hatua ya makundi baada ya kusubiri kwa takribani miaka 25

Yanga ina faida ya ushindi wa mabao 2-0 waliopata katika mchezo wa mkondo wa kwanza uliopigwa ugenini nchini Rwanda

Mchezo huo muhimu umebebwa na Stephane Aziz Ki ukipewa jina la Key Day ambapo mashabiki wametakiwa kwenda na funguo zao uwanjani ili kufungua milango ya kwenda makundi huku wale wenye kuvaa 'vinjunga' nao wakipewa nafasi

"Mimi nitakwenda na funguo yangu uwanjani ili kuungana Wanachama na mashabiki  kwenye KI Day . Pale jukwaani tunapokaa viongozi kuna taratibu zake za mavazi, ni ngumu kuvaa bukta, lakini niwahakikishie nitakuwa na funguo yangu mkononi," alisema Hersi

More Stories

Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
1h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
4h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
5h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
5h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
6h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
7h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
8h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
8h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
21h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
21h ago
READ MORE β†’