Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika klabu za Simba na Yanga leo watafahamu wapinzani wao wa hatua ya makundi
Droo ya hatua ya makundi itafanyika Afrika Kusini majira ya saa 9 Alasiri
Simba itakuwa Pot 2 wakati Yanga itakuwa Pot 3 kukiwa na nafasi ya timu hizo kupangwa kundi moja
Huu hapa mpangilio wa timu;







