Simba - Yanga - Azam - Taifa Stars - Tanzania - Local

Tanzania uso kwa uso na Morocco Afcon 2023

Joel JJ By Joel JJ
β€’
13 Oct 2023
Tanzania uso kwa uso na Morocco Afcon 2023

Shirikisho la Soka Afrika (CAF ) usiku wa jana lilipanga Makundi sita yenye Timu nne zitakazoshiriki michuano ya AFCON 2023 nchini Ivory Coast kuanzia January 13 2024

Tanzania imepangwa Kundi F sambamba na timu namba moja kwa ubora barani Afrika, Morocco washiriki wa nusu fainali ya kombe la Dunia 2022. Katika kundi hilo pia zimo Congo DR na Zambia

Mechi zao zitachezwa katika Mji wa San-Pedro nchini Ivory Coast ambapo ni umbali wa Kilometa 337 kwa gari kutokea mji Mkuu wa nchi hiyo Abidjan

More Stories

Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
2h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
6h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
6h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
7h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
8h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
8h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
9h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
9h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
23h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
23h ago
READ MORE β†’