Simba - Ihefu - Local

Simba yatangaza viingilio mchezo dhidi ya Ihefu Fc

Joel JJ By Joel JJ
β€’
26 Oct 2023
Simba yatangaza viingilio mchezo dhidi ya Ihefu Fc

Jumamosi, Oktoba 28 2023 Simba itashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Ihefu Fc katika mchezo wa ligi kuu ya NBC

Huu utakuwa mchezo wa kwanza kwa Simba kwenye ligi baada ya ushiriki wake katika michuano ya African Football League (AFL) juzi wakitolewa na Al Ahly kikanuni baada ya sare ya mabao 3-3 katika mechi zote mbili

Kuelekea mchezo huo, Simba imetangaza viingilio ambao VIP A ni Tsh 15,000/-, VIP B ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-

Mchezo utapigwa kuanzia saa 1 usiku, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba Ahmed Ally akiwataka Wanasimba kujitokeza kwa wingi kwenye mchezo huo ili kuonyesha wako pamoja na wachezaji wao licha ya kile kilichotokea kwenye AFL

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
8h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
8h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
8h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
12h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
15h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
16h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
16h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
17h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
18h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
19h ago
READ MORE β†’