Yanga - Simba - Azam - Local

Serikali yatoa siku saba sakata la jezi feki

Joel JJ By Joel JJ
β€’
27 Oct 2023
Serikali yatoa siku saba sakata la jezi feki

Waziri wa Viwanda, Uwekezaji na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji amewataka Wafanyabiashara kuacha kukimbilia Polisi pale wanapopata changamoto ya kibiashara badala yake waende Tume ya Ushindani (FCC)

Dkt Ashatu aliyasema hayo jana baada ya kutembelea na kukagua ghala lililobainika kuhifadhi jezi bandia za timu za Azam FC, Yanga SC, Simba FC na timu ya Taifa Tanzania

Waziri huyo amesema Taasisi ya kwanza inayotakiwa kupelekewa malalamiko ni FCC kwa sababu ndiyo yenye mamlaka ya kulinda watumiaji kubaini bidhaa ni bandia au sio bandia, lakini pia kulinda ushindani wenye ufanisi katika biashara

Aidha Dkt Ashatu ametoa siku saba kwa Mkurugenzi wa tume hiyo Wiliam Erio kujiridhisha na kujua idadi halisi ya T-shirt na jezi zote zilipo ili kuhitimisha jambo hili na kushughulika na watuhumiwa wanaomiliki mzigo huo unaokadiriwa kuwa na thamani ya Tsh Bilioni 10

More Stories

Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
11m ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
3h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
4h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
4h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
5h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
6h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
7h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
7h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
20h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
20h ago
READ MORE β†’