Yanga - Singida - KMC - Prison - Local

Yanga yaichapa Singida BS 2-0

Joel JJ By Joel JJ
β€’
27 Oct 2023
Yanga yaichapa Singida BS 2-0

Mabingwa watetezi ligi kuu ya NBC Yanga wameendelea kujiimarisha kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Singida BS katika mchezo uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Yanga ilifunga mabao yake kupitia kiungo mshambuliaji Maxi Nzengeli aliyefikisha mabao matano kwenye ligi

Ulikuwa mchezo wa upande mmoja kwa muda mwingi Singida BS wakicheza kwa kujihami zaidi kabla ya kuzinduka kwenye dakika 20 za mwisho kwenye kipindi cha pili

Ni ushindi ambao unaifanya Yanga iendelee kujiimarisha kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kufikisha alama 18

Katika mchezo uliopigwa mapema, KMC ilivutwa shati na Prisons ikilazimishwa sare ya bao 1-1 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Uhuru

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
10h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
10h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
10h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
14h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
17h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
18h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
18h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
19h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
20h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
20h ago
READ MORE β†’