Mshambuliaji wa kimataifa wa Uruguay na Gremio Luis Suarez, 36, anatazamiwa kujiunga na Inter Miami 2024 ambako ataungana na wachezaji wenzake wa zamani wa Barcelona kama vile Lionel Messi, Sergio Busquets na Jordi Alba. (El Pais - kwa Kihispania)
..... download Xtra 90 App



