Simba yasisitiza uungwana michezoni

Joel JJ By Joel JJ β€’ 2nd November 2023


Simba yasisitiza uungwana michezoni

Klabu ya Simba imelaani tukio la shabiki aliyevaa jezi ya Yanga kupigwa na mashabiki waliovaa jezi za Simba kwenye mchezo wa ligi kuu kati ya Simba dhidi ya Ihefu Fc uliopigwa hivi karibuni

Simba imeeleza kusikitishwa na tukio hilo lisilo la kiungwana na kutoa pole kwa mhusika aliyekumbwa na kadhia hiyo


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.