Local - Simba

Wydad yakaribia Mabilioni ya AFL

Joel JJ By Joel JJ
6 Nov 2023
Wydad yakaribia Mabilioni ya AFL

Wydad Athletic imejiweka katika nafasi nzuri ya kutwaa ubingwa wa kwanza wa michuano ya African Football League baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mamelodi Sundowns katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa fainali uliopigwa huko Morocco jana

Mabao ya Wydad yalifungwa na Rivaldo Coetzee dakika ya 41 na kipindi cha pili lilifungawa na Anas Serrhat huku Mamelodi wakipata bao dakika ya 74 na Abdelmounaim Boutouil.

Mechi ya marudiano itaamua bingwa wa kwanza AFL Novemba 12 katika dimba la Lucas Masterpieces Moripe, Afrika Kusini

Ni wazi mechi ya pili itakuwa ngumu zaidi Mamelodi wakiwa na kumbukumbu ya msimu uliopita ambapo waliondoshwa kwenye michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika hatua ya nusu fainali baada ya kulazimishwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya Wydad katika uwanja wao wa nyumbani

Timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1 kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza uliopigwa Morocco

More Stories

Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa uhuru
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa uhuru
52m ago
READ MORE →
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
55m ago
READ MORE →
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
1h ago
READ MORE →
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
1h ago
READ MORE →
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
1h ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
3h ago
READ MORE →
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
13h ago
READ MORE →
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
13h ago
READ MORE →
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
14h ago
READ MORE →
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
17h ago
READ MORE →