JKT Queens yawania nusu fainali Ligi ya Mabingwa

Joel JJ By Joel JJ β€’ 11th November 2023


JKT Queens yawania nusu fainali Ligi ya Mabingwa

Wawakilishi wa Tanzania kwenye mashindano ya CAF Women Champions League (CAFWCL) JKT Queens wanashuka dimbani leo mchezo wa mwisho wa kundi A kutafuta tiketi ya kucheza Nusu Fainali ya mashindano hayo

JKT Queens wapo nyuma ya Mamelodi wenye pointi (6) ambao tayari wameshafuzu

JKT Queens wakishinda leo watafikisha alama (6) na watakuwa wamefuzu moja kwa moja

Kama watatoka sare dhidi ya Sporting Club Casablanca itabidi wasubiri matokeo ya Athletico dhidi ya Mamelodi kujua hatma yao


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.