Transfer - International

Tetesi za soka Ulaya, Jumapili Novemba 12 2023

Joel JJ By Joel JJ
β€’
12 Nov 2023
Tetesi za soka Ulaya, Jumapili Novemba 12 2023

Kiungo wa kati wa Manchester City na Uingereza Kalvin Phillips, 27, anapendekeza kuhamia Newcastle kwa mkopo Januari badala ya klabu ya Juventus . (Calciomercato - in Italian)

Kiungo mshambuliaji wa Borussia Dortmund na Ujerumani Julian Brandt, 27, anawindwa na klabu za England Arsenal na Newcastle. (Mirror)

Chelsea wanapanga mazungumzo na Nottingham Forest ili kutatua mustakabali wa kiungo wa kati Mbrazil Andrey Santos, 19, ambaye yuko kwa mkopo katika kikosi cha Steve Cooper lakini amecheza mara moja pekee kwenye Premier League msimu huu. (Mirror)

Mshambulizi wa Ghana Andre Ayew, 33, amejiunga na Le Havre baada ya kuondoka Nottingham Forest mwishoni mwa msimu uliopita. (Fabrizio Romano)

Arsenal wamemfanya kiungo wa kati wa Aston Villa wa Brazil Douglas Luiz, 25, kuwa mshezaji nambari moja wanalenga kumnunua mwezi Januari. (Mirror)

Klabu ya Saudi Pro League Al-Ittihad iko kwenye mazungumzo ya juu na Mhispania mwenye umri wa miaka 57 na mkufunzi wa zamani wa Wolves na Real Madrid Julen Lopetegui. (Ben Jacobs

The Gunners walitaka kumtoa kiungo wa kati wa Ghana Thomas Partey, 30, lakini jeraha lake la paja lina maana kwamba anaweza kuendelea kubakia katika klabu hiyo baada ya kipindi cha majira ya baridi kali. (Football Insider)

Girona wanataka kumsajili tena kiungo wa kati wa Uhispania Oriol Romeu, 32 kutoka Barcelona . (90min)

Mkufunzi wa zamani wa Chelsea na Everton Frank Lampard yuko katika kinyang'anyiro cha kuwania nafasi ya ukocha katika klabu ya Oxford United ya League One . (Sun)

Manchester United wanavutiwa na mshambuliaji wa AZ Alkmaar raia wa Uholanzi Jayden Addi. (Football Transfers)

BBC

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
46m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’