Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ally amesema mashabiki wa timu hiyo wanastahili pongezi kwa kushinda tuzo ya mashabiki bora wa michuano ya African Football League iliyofikia tamati jana huko Afrika Kusini
..... download Xtra 90 App



