Timu ya Al Hilal ya Sudan iko nchini Tanzania kwa ajili ya maandalizi ya mechi za ligi ya mabingwa barani Afrika, hatua ya makundi
Al Hilal watatumia uwanja wa Benjamin Mkapa kucheza mechi zao za nyumbani
Timu imethibitisha itacheza mechi ya kujipima nguvu dhidi ya KMC siku ya Alhamisi
Uwanja wa Benjamin Mkapa uliofanyiwa ukarabati mkubwa, utakuwa 'busy' kwenye ligi ya mabingwa kwani utatumiwa na timu tatu za Yanga, Simba na Al Hilal