Yanga - Local

Aisha Masaka aweka historia Ulaya

Joel JJ By Joel JJ
β€’
16 Nov 2023
Aisha Masaka aweka historia Ulaya

Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Aisha Masaka ameweka historia ya kuwa Mtanzania wa kwanza kucheza ligi ya mabingwa Ulaya kwa upande wa wanawake

Masaka aliyewahi kutamba na Yanga Princess kabla ya kuuzwa huko Sweden, jana aliitumikia klabu yake ya Bk Hacken na kupata ushindi wa 2-1 wakiwa ugenini dhidi ya Paris FC ya nchini Ufaransa

Baada ya kuanza maisha yake kwa kusuasua huko Sweden, Masaka sasa ameimarika akijihakikishia muda zaidi wa kucheza kwenye kikosi cha kwanza

Katika msimu wa Ligi ya Wanawake ya Sweden iliyomalizika karibuni, Masaka alimaliza msimu akiwa na mabao matano

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
2h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
3h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
3h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
4h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
5h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
6h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
6h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
19h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
19h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
20h ago
READ MORE β†’