Yanga yazidi kupaa viwango Kimataifa

Joel JJ By Joel JJ β€’ 16th November 2023


Yanga yazidi kupaa viwango Kimataifa

Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limetoa takwimu ya viwango vya klabu kwa kipindi cha Novemba Mosi, 2022 hadi Oktoba 31, 2023

Kwa Tanzania klabu ya Yanga inashika nafasi ya 4 kwa Afrika na 53 duniani kutoka 60 huku Simba ikishika nafasi ya 13 Afrika na 154 duniani kutoka 148

Hii hapa kumi bora Afrika;

  1. Al Ahly
  2. Wydad Casablanca
  3. Pyramids FC
  4. Yanga
  5. Mamelodi Sundowns
  6. Raja Casablanca
  7. FAR Rabat
  8. CR Belouizdad
  9. Zamalek SC
  10. Esperance


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.