Baada ya kufuta safari ya Kenya kuumana na Gor Mahia, matajiri wa Chamazi, Azam Fc leo watakuwa katika uwanja wao wa Azam Complex kuumana na JKU
Ni mchezo wa kirafiki kwa timu zote kujipima katika kipindi hiki ambacho ligi zimesimama kupisha kalenda ya michuano ya FIFA




