Local - Simba

Simba yaifumua Dar City 4-0 mechi ya kirafiki

Joel JJ By Joel JJ
β€’
19 Nov 2023
Simba yaifumua Dar City 4-0 mechi ya kirafiki

Kikosi cha Simba kinaendelea na mazoezi Mo Simba Arena kujiandaa na mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Asec Mimosas utakaopigwa Jumamosi ijayo, Novemba 25 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Ikiwa ni sehemu ya maandalizi, Simba inayonolewa na makocha wa muda Daniel Cadena na Seleman Matola, leo ilicheza mechi ya kirafiki dhidi ya Dar City

Simba iliibuka na ushindi wa mabao 4-0 katika mchezo huo uliopigwa Mo Simba Arena

Mabao ya Simba yalifungwa na Che Malone, Willy Onana, Israel Mwenda na Moses Phiri

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
9h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
10h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
10h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
14h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
17h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
18h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
18h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
19h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
20h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
20h ago
READ MORE β†’