Tanzania - Taifa Stars - Yanga - Simba - Azam - Local

Stars yarejea kutoka Morocco

Joel JJ By Joel JJ
β€’
19 Nov 2023
Stars yarejea kutoka Morocco

Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kimerejea nchini kutoka Morocco ambako jana walifanikiwa kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Niger katika mchezo wa kuwania kufuzu kombe la Dunia 2026

Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh Gerson Msigwa aliwapokea Stars uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere na kuwakabidhi Tsh Milioni 10 zikiwa ni fedha za bonas ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan kwa kila goli linalofungwa kwenye mechi za Kimataifa ambazo Stars au klabu zinashinda

Kuelekea mchezo dhidi ya Morocco utakaopigwa Jumanne, Msigwa amesema Rais Samia amenunua tiketi zote za Mzunguuko hivyo mashabiki wataingia bure katika mchezo huo utakaopigwa saa nne usiku

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
38m ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
50m ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
1h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
4h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
8h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
8h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
9h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
10h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
10h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
11h ago
READ MORE β†’