Kikosi cha Asec Mimosas tayari kimewasili nchini kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa kundi B dhidi ya Simba
Mchezo huo utapigwa Jumamosi, Novemba 25 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, saa 10 jioni
Msafara wa Asec umejumuisha watu 31 ikiwa na wachezaji, benchi la ufundi maafisa waandamizi wa klabu hiyo kutoka Ivory Coast

