Newcastle wanapania kumsajili kwa mkopo kiungo wa Manchester City na Uingereza Kalvin Phillips mwenye umri wa miaka 27 na mshambuliaji wa Paris St-Germain Mfaransa Hugo Ekitike, 21, mwezi Januari. (Times- usajili unahitajika)
..... download Xtra 90 App



