Simba - Local

Mabosi Simba wateta na wachezaji

Joel JJ By Joel JJ
β€’
27 Nov 2023
Mabosi Simba wateta na wachezaji

Bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba ikiongozwa na Mwenyekiti Salim Abdallah 'Try Again' jana walifanya kikao na wachezaji

Kikao hicho kilihudhuhuriwa na viongozi wote waandamizi akiwemo Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Murtaza Mangungu

Uongozi uliwapa nafasi wachezaji kuzungumza kila mmoja kueleza kama ipo changamoto inayowafanya wasifanya vizuri

Wachezaji wote walieleza kuwa hakuna changamoto yoyote ndani ya kambi na wameumizwa na mwenendo wa timu katika mechi zilizopita

Nyota wa Simba wamewaahidi Wanachama na Mashabiki kuwa watapambana kwa jasho na damu katika mechi zilizobaki kwenye ligi ya mabingwa ili kuhakikisha wanavuka hatua ya makundi

Wiki hii Simba itasafiri kwenda Botswana ambapo Jumamosi watachuana na Jwaneng Galaxy katika mchezo wa pili wa hatua ya makundi

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
6h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
6h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
7h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
10h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
14h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
14h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
15h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
16h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
16h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
17h ago
READ MORE β†’